Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Ile penalty imewamaliza.Dk 20 za mwanzo kati walikua wako vizuri sana Croatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile penalty imewamaliza.Dk 20 za mwanzo kati walikua wako vizuri sana Croatia
Tulia wewe mechi bado haijaishaKubababake viwili tayari...nlienda kuweka mpira kwenye pipa nakuja nakuta viwili tayarii
Usikae mbali na comment yako hii mkuu, kutangulia sio kufikaTeam Croatia mmenyamazishwa vibaya na mapema sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ni [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Ile penalty imewamaliza.
Gollie kapoteza balance ya mwili na mchezaji kamfuata gollie wamegongana refa anaweka mpira eti penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamembagua nani?Morocco out
Morocco out
Morocco out
France tuondolee hayo mabaguzi
Kalale tuuu na ukomeee kuisema Argentina maana siku zote wqnaku prove wrongKipindi cha kwanza kikiisha nikalale
Nakuona mchambuzi wa yombo vituka unavyohangaika hapa, hahahahaaGollie kapoteza balance ya mwili na mchezaji kamfuata gollie wamegongana refa anaweka mpira eti penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Kipindi cha kwanza kikiisha nikalale
Hivi messi mbona anawazoea sana marefa ! Anaongeaga nao nini sijui kwanini asilimwe kadi?
Hili jambo linanikera sana.
We una gundu.Hawa makorashiya wamekuja kuwa je tena?