100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Unaendeleaje mkuu?Kabla hauja bet tayari ushaliwa pesa zako.
Leo andunje anarudi kwao, kesho wamatumbi wa Paris nawao wanarudi kwao.
Fainal Morocco vs Croatia.
Morocco 1 Croatia 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje mkuu?Kabla hauja bet tayari ushaliwa pesa zako.
Leo andunje anarudi kwao, kesho wamatumbi wa Paris nawao wanarudi kwao.
Fainal Morocco vs Croatia.
Morocco 1 Croatia 0
Nawaona, nawaona kimya kimya mmelowa 💧Tuko hapaaaaa
ChangamotoNawaona, nawaona kimya kimya mmelowa 💧
Fainali ni Argentina vs FranceKabla hauja bet tayari ushaliwa pesa zako.
Leo andunje anarudi kwao, kesho wamatumbi wa Paris nawao wanarudi kwao.
Fainal Morocco vs Croatia.
Morocco 1 Croatia 0
Argentina ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Chezeya Argentina wewee
Baba laooo
Yaani wewe hahaNawaona, nawaona kimya kimya mmelowa 💧
Kesho France wanarudi Paris mapema mno.Fainali ni Argentina vs France
Wamenyeshewa na mvuaNawaona, nawaona kimya kimya mmelowa 💧
Hahahahaha mkuu no sio penatiPenati au?
Maana ndio magoli yake
Sure wengi wameloa aiseeNawaona, nawaona kimya kimya mmelowa [emoji98]
Alisikika shabiki mmoja kutokea buzaFIFA wamepanga Argentina awe bingwa ili kumfavour Messi.
Goli la kwanza halikuwa penati maana mchezaji wa Argentina alishaupiga mpira ndio kagongana na kipa na mpira walishau win mabeki wa Croatia so hapo walibebwa tuu Hakuna penati.
Sasa Dr Licky akiikataa ndiyo inasaidia nini?Penalty hadi Dr Licky kaikataa...kweli Argentina ni mbeleko FC [emoji16]
Kunywa maji kwanza , maisha mwenyewe mafupi wakati bingwa ana julikana [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji81][emoji81]Penati au?
Maana ndio magoli yake
Una mtaji wa goli mbili. Mwache anayetafuta goli ashambulie then uende kwa counter.