Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mambo ya muda, umemuona GOAT?Hizi kelele zina muda tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Messi mna uhakika ana miaka 35 kweli?
yah kiroboto anangata anangata kweli!Nimetoka kusema hivi punde kuwa kule mbele kuna balaa na Messi na Alvarez..!
PoleNimeonaaaa .. Ussshuunggguuuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Zitaisha baada ya Messi kuvaa medali aliyoisubiri kwa muda mrefu Sana. ...Hizi kelele zina muda tu
mwana atakufa na kihoroAchana na mambo ya muda, umemuona GOAT?
Woyooo WC sio laliga alikozoea kupewa tuzo, hana lolote hapaTeh teh teh 😂😂😂 wale wengine wameshalala....
Saint Anne Numbisa Carleen...Messi kawaharibia Usiku..😂😂😂..
Na medali ya ubingwa atavaa...na tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inamsubiri..
Mtaje na bingwa SasaFinal France vs Argentina.
Sijui unafuatilia mpira ,mwaka huu Argentina kachukua Copa America mbele ya Brazil.Mabeko wa Croatia wazembe pale hata Mwamunyeto asinge zungushwa na chenga za Messi kiboya kama vile .Hii mechi Croatia wngetuachia Brazil Argentina tungemdhalilsha vibaya mno..
Nakuunga [emoji113]Final France vs Argentina.
Nyokoo huamini tuuHizi kelele zina muda tu
FranceMtaje na bingwa Sasa
Hatuna shida na magoli bora kama hayo mengineHaya wale wachambuzi wa magoli ya Argentina, tunawangoja. Saa hii nani kaonewa?
Hutaamini macho yako, ngoja utashuhudia hili...Woyooo WC sio laliga alikozoea kupewa tuzo, hana lolote hapa