Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yeyote aje tu sisi kama wahuni wa Argentina atu muwazi Yeyote ni vichapo tu
Hakuna Cha yoyote uyo.tumbuli wako Messi anaomba France atoke we nani unayesema yoyote sema mnataka Morroco au unazan Messi kasahau kipigo Cha Goli Nne pale Russia
 
Fatigue ya kucheza mechi ngumu mfululizo huenda ikawa tatizo kwa Morocco..........japo sio lazima maana Waarabu wakiamua kukomaa wanakomaa hasa.

Ila hapo kwenye kuzuia Morocco wapo vizuri na wapinzani wapo vyema kwenye ushambuliaji.
Morocco ni kuwatanguliza goli ili uharibu game plan yao, waanze kuchase game mbele ya Mbappe&Griezmann
 
Ni kweli moroco siyo muafrica ni muarabu aliye katika bara la africa

Ni sahihi kbsa wao kusema siyo waarifrica

So twende na moroco

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Orodhesheni kabisa na majina yenu pamoja na ndug zenu Argentina ili tukipiga tupige kifo Cha kikatili wakati wakuwapa pole tusipate tabu
 
Kwani wewe umeitolea wapi, mimi nimepata kwenye page ya fifa. Fanya comparison na hiyo nyingine, kama unajua mpira utaona formation ni ile ile. Fullbacks wanacheza kama wingbacks kama wakishambulia, wakishambuliwa wanacheza kama mabeki, tofauti iko wapi hapo
Screenshot_20221214-214453.png
 
Back
Top Bottom