joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Morocco wazee wa Yutong.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha yoyote uyo.tumbuli wako Messi anaomba France atoke we nani unayesema yoyote sema mnataka Morroco au unazan Messi kasahau kipigo Cha Goli Nne pale RussiaYeyote aje tu sisi kama wahuni wa Argentina atu muwazi Yeyote ni vichapo tu
Wanajing'ata na kujipulizaa wenyewe
Cc. Nyoshi El SadaatFrance tujuane[emoji3577]
Ebu ukoooCc. Nyoshi El Sadaat
Sasa mnatuchanganya which is which?
Morocco ni kuwatanguliza goli ili uharibu game plan yao, waanze kuchase game mbele ya Mbappe&GriezmannFatigue ya kucheza mechi ngumu mfululizo huenda ikawa tatizo kwa Morocco..........japo sio lazima maana Waarabu wakiamua kukomaa wanakomaa hasa.
Ila hapo kwenye kuzuia Morocco wapo vizuri na wapinzani wapo vyema kwenye ushambuliaji.
WoooooozaaaaaaNiko Paris City of Love and Romance...
France [emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
Les Bleus...
Orodhesheni kabisa na majina yenu pamoja na ndug zenu Argentina ili tukipiga tupige kifo Cha kikatili wakati wakuwapa pole tusipate tabuNi kweli moroco siyo muafrica ni muarabu aliye katika bara la africa
Ni sahihi kbsa wao kusema siyo waarifrica
So twende na moroco
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani wewe umeitolea wapi, mimi nimepata kwenye page ya fifa. Fanya comparison na hiyo nyingine, kama unajua mpira utaona formation ni ile ile. Fullbacks wanacheza kama wingbacks kama wakishambulia, wakishambuliwa wanacheza kama mabeki, tofauti iko wapi hapo
Hawa waarabu wapigwe tu,wamekua na kelele sana na kuanza kuleta mambo ya kujibagua.watoke leo
Natamani itengenezwe sheria maalum game hii wakitoa droo dk 90 wote wafuzu watengeneze kikosi kimoja kicheze fainali na Argentina.. Bado Messi atawaburuza tu