Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh ngapi? Nikuhonge kabisa 😀
Bora wangekuwa kimya, ingawa mpaka sasa wamefungwa 1 lakini wapo imara kuliko Croatia ya jana lakini hawatoki aiseeNipo Kibanda umiza aisee Morroco wameharibu sana kauli zao za kibaguzi.
Imajulikana mbona ni walewaleee mabingwa!!Nachungulia humu nijue fainali nani na nani watavaana
Thanx though
Sure.Ushindi wa Morocco hautuhusu sisi watu weusi,wenyewe walishasema kwamba wao si waAfrica Basi acha wapigwe tu.
Yaani wangepiga kimya.. sema Furaha ikizidi unaropoka chochote..Bora wangekuwa kimya, ingawa mpaka sasa wamefungwa 1 lakini wapo imara kuliko Croatia ya jana lakini hawatoki aisee
Hamia timu ya nchi ya wakimbizi. Imejaa waafrika wenzetu. Hao waarabu waachie waarabu wenzao.Nachungulia humu nijue fainali nani na nani watavaana
Thanx though
Sofia kapewa kadi ya njano
Siku zote ndio inavyokuwaga Ukiwa unacheza mechi yako ya mwishoMorocco wamepanic
Kambutua Theo.Sofia kapewa kadi ya njano
Kuna seat hapa kaa.Ndugu zangu Wafaransa samahani nimechelewa kidogo sababu ya majukumu, hebu nipeni updates gemu mnaionaje tumeikamata? Hao waarabu wana jipya?
Una hela ya kuhonga wewe!?Sh ngapi? Nikuhonge kabisa 😀