Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda hata ivory Coast angepita kama wangeshindana na waarabu wenzaoNa wakati ujao waende huko huko Uarabuni kwao, kutafuta nafasi ya kufuzu mashindano yajayo. Waache kutuzibia Waafrika nafasi za za kufuzu.
Karani Mbappe anahesabu watu SensaSafi, wametolewa hawa wabaguzi wa wa-Afrika weusi. Cha kupendeza zaidi wametolewa na watu weusi. View attachment 2447118
Kwani ulishamaliza period we Mwajuma ndala ndefu [emoji848][emoji16][emoji2960]Aaahaa Kumbe kocha ndio anachezesha mpira?
Tatizo nyie mabinti mnaomshabikia Christina Benchaldo hata mpira hamjui halafu mnajaza humu server bure
TumeshindaaaaWafaransa weusi kwa sasa roho zipo juu juu..😂😂
Scars Tate Mkuu Saint Anne Victoire Carleen
United ya Ferguson
NAJYUZ
[emoji38]Bila penati
Alivyovifanya Messi jana dogo kavifanya zaidi lakini kuko kimyaaa utafikiri dafatari la msiba linapita mbele yao
Hatukutaki shabiki wa mchongoNaanza kumshabikia andunje maana kapambana sana
Messi yupo mbele anawasubiri...Tumeshindaaaa
Waislamu na Waarabu Koko wanakusikia ujue [emoji23][emoji87]Wakatoliki sijui tushangilie Timu gani jumapili
Brother, Argentina sio waarabu.Yaani najaribu kufikiria messi atafanya nini kutoboa kwa hawa france sipati majibu
Ila leo Dembele hakuwa ktk fomu nzuri kabisa kimchezo [emoji3526]Watu wa vamoooss... watch out, we are coming!!View attachment 2447127