Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Whatever the results will be,,, forever Les Blues
Screenshot_20221218_185917.jpg
 
Hivi kweli kwa mpira huu wa France bado unataka washinde WC hata aibu mtu hujionei???, vitu vingne ni kua fair tuu
Anyway Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, kwahio nao wana nafasi kama ya wenzao.
 
Kila mechi lazima waanzishiwe penalty ndo wafunge kawaida

Mtu anapewa penalty tano

Kombe la dunia ni mechi 7 tu unacheza

Jamaa penalty mechi 5 hata shabiki zake wanajua bila hizi penalty Mbuzi asingefika mbali

Mbuzi mwenyewe sasa [emoji1541][emoji1541]

View attachment 2450968
Kiukweli hizo penalties ndizo zinazopunguza ubora wa Mabingwa Argentina, yani tangu dunia iumbwe ndiyo maajabu yameikuta dunia 2022 kwa penati 5 kati ya mechi 7...[emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kila mechi lazima waanzishiwe penalty ndo wafunge kawaida

Mtu anapewa penalty tano

Kombe la dunia ni mechi 7 tu unacheza

Jamaa penalty mechi 5 hata shabiki zake wanajua bila hizi penalty Mbuzi asingefika mbali

Mbuzi mwenyewe sasa [emoji1541][emoji1541]

View attachment 2450968
Astaafu sasa 2026 no messi no cr7,yan ni tunaanza upyaaaa very clean. Tumfaid Mbappe na wengine vzr sasa
 
Wafaransa mmeenda wapi tena, mbona mmekimbia mapema sana?
Kelele zimewaisha eeh? Tuliwaambia hakuna wa kumzuia Messi wala Argentina... Habari mnayo...
Kwa taarifa tu Argentina tuna raha sana 😍😍😍😍😍
 
Di maria ni kama alikuwa special kwa ajili ya final hii
World cup ya 2014 kama asingeumia Di Maria, walikua wanabeba Argentina. Kocha kajua Di Maria ni injury prone, ndio maana akamtunza kwaajili ya big ocassion!

Kila siku nawaambia humu, usitume wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Mbappe hajui anafanya nini uwanjani, watu wanatembea nae kila sehemu. Wahuni wamevunja midfield, wafaransa hawatembei.

Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi!
 
Back
Top Bottom