Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

20221218_195241.jpg
 
Nashangaa wanaoshabikia Argentina, america kusini ni bara ambalo lina weusi weeengi lakini shangaa kwenye timu yao ya taifa hakuna mchezaji mweusi, miaka ya 1820s baada ya biashara ya utumwa kusitishwa raisi wao aliwaua watu weusi weengi sana wengine wakakimbilia Brazili na Ecuador Mimi ni nani niwashabikie waargentina?
Ao ni chawa wa Messi
 
Hii ndio tofauti ya Football na michezo mingine
Kibao kinageuka kama utani vile
 
Back
Top Bottom