Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

FB_IMG_16713901619217352.jpg
 
😅😅😅😅😅 unanilingishia, nyie loser hamuwezi kuwa na vibe kama letu ushindi plus furaha yani tunaenda baharini huko plus upepoo 😅😅😅😅 Cillah utampa testimony huyu mzee wako
Kwakweli sherehe ya ushindi huwezi fananaisha na wa majonzi. Kwanza wanaweza jikuta badala ya kufurahia wanaanza kulia🤣🤣🤣
 
Kipindi cha Messi na CR7 kimeisha sasa na inatosha. Dunia ya Soka ianze kukuza kizazi kipya, tuone damu mpya zikishindania mchezaji bora. Messi na aliyekuwa anampa changamoto yaan CR7 wabaki kwenye historia. Ni wakati wa kuwainua kina Mbappe, Halland na wengineo, Burudani ya soka na iendelee. Ni bahati kuwashuhudia CR7 na Messi wakicheza.
Hapo uliposema ni wakati wa kuwainua kina mbappe ndo nashindwa kukuelewa wainuliwe na nani kama sio performance ya uwanjani?
 
Mabingwa wenzang nawasihi sana usibishane na Takatak kwa ss mda kubishana na hawa wachumia tumbo umeisha

Sisi ndo. Mabingwa wapya wa dunia hii kwa miaka mi4

Kmmmmmmk

We did it fellas in a hard way possible and it feels so sweet.. And haters can fck OFFFF [emoji41]

Vamooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Back
Top Bottom