Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ndiyo uelewe kwanini huyo Andunje wenu anaitwa MISS PENATI, timu gani iliwahipata penati 7 kati ya mechi 7 kwenye kombe la dunia tangu dunia iumbwe [emoji848][emoji16]

Mbappe kupata 2 tu kati ya mechi 7 mnaharisha na kujamba jamba tu [emoji1787]View attachment 2451525View attachment 2451526

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako tu, Messi kwa sasa hana wa kumlinganisha naye. Battle ilikuwa ni Messi na Ronaldo. Messi has gone xtra level kwa kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia baada ya kupita miaka kama 38 hivi.

Messi kupiga penalt ni sehemu ya mchezo. Na yeye ndio first choice kwenye timu. Iwe Argentina iwe kule barca kabla ya psg. Ndio maana Mbape anang'ang'ania kupiga ingawa sio chaguo la kwanza.
Sasa ni zamu ya Mbape na Haaland. Na kwa kuwa Mbape anacgeza farmer league tofauti na Haaland utaanza kusikia maneno ya kejeli yakielekezwa pande za paris.
 
Oya mmesikia huko...messi ameahirisha mpango wake wa kustaafu timu ya taifa.....
Sasa sijui anataka kubeba tena au lengo lake ni lipi? Angeachia tu hapohapo abaki na hii heshima kuliko timu ije iboronge na yeye akiwemo
Malengo yake ni kufikisha goli 100+ kwa timu ya taifa. Kwa sasa ana 98.

Naunga mkono hoya. Na aendelee mpaka avunje rekodi ya magoli ya cr7. Maana cr7 kashakuwa useless anaenda kucheza uarabuni. Messi anazo nguvu za kucheza mpaka akafikisha miaka 38. Mbona Modric ameweza?
 
Mchezaji bora WC mara 2
FB_IMG_1671425582992.jpg
 
Back
Top Bottom