Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kwa taarifa yako tu, Messi kwa sasa hana wa kumlinganisha naye. Battle ilikuwa ni Messi na Ronaldo. Messi has gone xtra level kwa kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia baada ya kupita miaka kama 38 hivi.Ndiyo uelewe kwanini huyo Andunje wenu anaitwa MISS PENATI, timu gani iliwahipata penati 7 kati ya mechi 7 kwenye kombe la dunia tangu dunia iumbwe [emoji848][emoji16]
Mbappe kupata 2 tu kati ya mechi 7 mnaharisha na kujamba jamba tu [emoji1787]View attachment 2451525View attachment 2451526
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Messi kupiga penalt ni sehemu ya mchezo. Na yeye ndio first choice kwenye timu. Iwe Argentina iwe kule barca kabla ya psg. Ndio maana Mbape anang'ang'ania kupiga ingawa sio chaguo la kwanza.
Sasa ni zamu ya Mbape na Haaland. Na kwa kuwa Mbape anacgeza farmer league tofauti na Haaland utaanza kusikia maneno ya kejeli yakielekezwa pande za paris.