Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It hurts for his career to end that way,i wish asiende huko al nasr anyways wacha tusubr tuone
Aguero kasema ana heart problems ndomn kastaafu lakin alimbeba pessi juu juu huku anatrot,kapiga mangoma karukaruka kafanya vurugu zote na sjaskia akilala moyo wauma[emoji848]
Yeah kule pesa ipo naona akikubali. Madrid angepokelewa bt wanasema hawadhan cr7 atakubali kuendana na rules watakazompaRonaldo amekosa washauri wazuri bahati mbaya alishampoteza baba ake hana mtu anayemsikiliza zaidi ya mama
Na mara zote mama humsapot mwanae kile anachotaka kukifanya
Unaona messi alivyo na utulivu kwasababu muda mwingi yupo na baba ake father figure ni muhimu sana
Ronaldo ataenda uarabuni kwasababu anafuata pesa
Sababu nyingine ronaldo anapenda kuabudiwa kule kwa waarabu watamtii kila anachotaka
Angeweza kwenda USA ila kule marekani kuna Master wa basketball ronaldo wanamuona wakawaida tu
Messi akitoka PSG anaenda zake USA kule walatino wengi sana, messi atapata sapot na kumalizia mpira vizuri
Kante angekuwepo, Argentina asingebeba hilo kombe
Mark my words
Maneno ya wakosaji
Unaongelea kombe saa hizi ?
Akiwa arPENtina simtambui[emoji1787][emoji16][emoji16] pole kwa maumivu
Aguero ni legend wa timu yako usimseme hivyo
Kipa gani huyo aliwekwa benchi kule Arsenal na Aaron Ramsdale! Hakuna kipa pale ni bahati tu France hawakuwa kwenye form yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
Babake kafark mda sana na still akaendelea kua kwenye peak so wala hyo sio sababuRonaldo amekosa washauri wazuri bahati mbaya alishampoteza baba ake hana mtu anayemsikiliza zaidi ya mama
Na mara zote mama humsapot mwanae kile anachotaka kukifanya
Unaona messi alivyo na utulivu kwasababu muda mwingi yupo na baba ake father figure ni muhimu sana
Ronaldo ataenda uarabuni kwasababu anafuata pesa
Sababu nyingine ronaldo anapenda kuabudiwa kule kwa waarabu watamtii kila anachotaka
Angeweza kwenda USA ila kule marekani kuna Master wa basketball ronaldo wanamuona wakawaida tu
Messi akitoka PSG anaenda zake USA kule walatino wengi sana, messi atapata sapot na kumalizia mpira vizuri
Yeah kule pesa ipo naona akikubali. Madrid angepokelewa bt wanasema hawadhan cr7 atakubali kuendana na rules watakazompa
Akiwa arPENtina simtambui[emoji1787]
IkrAguero ndio mchezaji bora wa muda wote pale kwenu manchester city
He aint gay hyo story ilikua cooked kila mtu anajuaPerez alishagombana na ronaldo kwasababu ya tabia za ronaldo nje ya uwanja
Wakati ronaldo anatoka manchester united kwenda real madrid
Ronaldo alikuwa anawapanga sana mabiniti wa kihispania hadi akadondokea kwa yule kahaba wa urusi baadae wakaachana
Sasa kuna skendo moja ya ushoga ndio iliharibu kabisa reputation ya ronaldo hapo ndio perez akamfungia kioo
Picha za ushoga za ronaldo zilipovuja perez akamkataa akamwambia mkataba ukiisha uondoke
Mpaka leo najiuliza kwann ronaldo alibadilika kutoka kuwa mtu wa madem mpaka kuwa kujidhalilisha? Pesa huja na mabalaa yake
Yule mwarabu aliyeshikwa naye alimnunulia nyumba usa
Kwahiyo tuseme tu ushoga ndio uliompoteza ronaldo wa mpira.
Babake kafark mda sana na still akaendelea kua kwenye peak so wala hyo sio sababu
Ego,pride ndo vinamuharbia plus he is in denial.Manchester united alikuwa na baba ake Alex feg alimlea km mtoto wake alianza drama aliphamia spain
He aint gay hyo story ilikua cooked kila mtu anajua
Ego,pride ndo vinamuharbia plus he is in denial.
But we love him regardless,las las he gon be fine[emoji4]
Ni letu😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah