Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yeye anangangania astaafu akiwa na 40 na aendelee kupewa value ile ile apo ndio alipokosea

Mwenzie messi kaongezewa mkataba na PSG hadi 2024 tena hajaomba wenye timu ndio wamemuomba

Ronaldo amekosa watu maturity wa karibu yake au wanaogopa kumwambia ukweli
Hii drama ya man u isingekuwepo prolly angetaza kustaaf nxt year but kwa hii situation iliyopo not a good ending for him.
 
Yeye anangangania astaafu akiwa na 40 na aendelee kupewa value ile ile apo ndio alipokosea

Mwenzie messi kaongezewa mkataba na PSG hadi 2024 tena hajaomba wenye timu ndio wamemuomba

Ronaldo amekosa watu maturity wa karibu yake au wanaogopa kumwambia ukweli
Ukweli anaambiwa but he is denial,sio rahisi kukubali. Fans wake tunaumia bas tu[emoji25],anatakiwa awe humble tu amalize vizur,hiko kibur angekileta zama zile sio sasa 37YO
 
Kivuli cha messi kinamtesa sana Cr7

Wakati anatoka juventus ronaldo aliomba ajiunge manchester city, waraabu walimkubalia ila pep akawa anamuwekea uzibe, manchester united ikaamua kumstiri ila mwisho wa siku amekosa busara

Ronaldo sehemu anayoweza kucheza ni Bayern Munich kwa timu kubwa japo kwa kupewa dkk chache ila sasa bayern kulipa mchezaji 500k per week hawafanyi huo upuuzi

Ronaldo anataka UEFA bahati mbaya timu zote zenye hadhi ya uefa hazimtaki tena
Ukweli anaambiwa but he is denial,sio rahisi kukubali. Fans wake tunaumia bas tu[emoji25],anatakiwa awe humble tu amalize vizur,hiko kibur angekileta zama zile sio sasa 37YO
 
Ronaldo amekosa washauri wazuri bahati mbaya alishampoteza baba ake hana mtu anayemsikiliza zaidi ya mama

Na mara zote mama humsapot mwanae kile anachotaka kukifanya

Unaona messi alivyo na utulivu kwasababu muda mwingi yupo na baba ake father figure ni muhimu sana

Ronaldo ataenda uarabuni kwasababu anafuata pesa
Sababu nyingine ronaldo anapenda kuabudiwa kule kwa waarabu watamtii kila anachotaka

Angeweza kwenda USA ila kule marekani kuna Master wa basketball ronaldo wanamuona wakawaida tu

Messi akitoka PSG anaenda zake USA kule walatino wengi sana, messi atapata sapot na kumalizia mpira vizuri
Na Cr7 hawez ingia marekani maana zile tuhuma za kesi yake bad hazijapoa.

Ndo maana hujaona wanaongelea kbs kwend marekani kule anaweza fika tu akakamatiwa Airport.
 
Kante angekuwepo, Argentina asingebeba hilo kombe
Mark my words

Dah!...umenikumbusha mechi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya WC mwaka 2018 kati ya Ufaransa na Argentina kule Urusi..
 
Habari ya Asubuhi MABINGWA WA DUNIA.

CR7[emoji736], Neymar [emoji736]&Mbappe [emoji736]

Vamoooooooooos Albiceleste [emoji1033][emoji41]
20221219_112118.jpg
 
Back
Top Bottom