Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana.
Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi!
Hebu wanamichezo wenzangu tusaidiane, je hii ari wanayokuwa nayo imejengwa na kocha, ama motisha kutoka uongozini, ama aina ya wachezaji waliyonao kwa sasa, ama ni nani kaijenga?!