Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana.

Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi!

Hebu wanamichezo wenzangu tusaidiane, je hii ari wanayokuwa nayo imejengwa na kocha, ama motisha kutoka uongozini, ama aina ya wachezaji waliyonao kwa sasa, ama ni nani kaijenga?!
 
Timu ya taifa imekosa hii spirit
 
Its something that is built from the top to bottom
 
Nikupe namba ya Garib umuulize?
 
Kwanza ni uwekezaji mzuri, quality ya wachezaji kulinganisha na wapinzani, motivation kutoka Kwa uongozi especially President Hersi, Ushindani ndani ya kikosi baina ya wachezaji, Makocha wenye uwezo na waliokaa na timu Kwa muda mrefu.
Kuondoa haraka wachezaji wazee ambao wapinzani wao wanawasajili kama Potential player.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…