Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

The biggest scam on earth ni mijitu kutoka California kujiiita Jews...

Na mijitu mingine kuabudu hii mijitu...
Huku wayahudi halisi "wakiteseka "hapo hapo Israel
Beduin ni kabila ka watu weusi waislael kutoka Etheopia. Nikajiuliza inakuwaje hao waislael wawe weusi tii halafu kuna waislael weupe pee. Imekuwaje jamii moja iwe na watu wawili wenye Rangi tofauti wasio na mfanano kabisa.
Kuna kundi moja limejipa nasaba isiyoyake.
Vinginevyo kama waislael ni dini sio nasaba sawa ila kama ni DNA basi tumeoigwa
 
Ndivyo ambavyo hizi vita huwa. Hata kama umemzidi vipi nguvu adui, kile kitendo cha kukuingiza kwenye mapigano kila siku kinachosha sana. Labda uwe tayari kumuangamiza kabisa kabisa, bila ya hivyo mwishoni lazima akushinde.
 
Upo vizuri Sana,narudia Tena na Tena hongera Sana Kwa kuona mbali,ACHANA na hao wafuasi WA mwamposa hawajui lolote kinachofuatia nchini Israel.

Nimeandika mara Kwa mara humu kuwa, Israel Ina mambo mawili TU ya kufanya;
✍️Wafie ndani

✍️Waende uhamishoni.
 
Back
Top Bottom