Beduin ni kabila ka watu weusi waislael kutoka Etheopia. Nikajiuliza inakuwaje hao waislael wawe weusi tii halafu kuna waislael weupe pee. Imekuwaje jamii moja iwe na watu wawili wenye Rangi tofauti wasio na mfanano kabisa.
Kuna kundi moja limejipa nasaba isiyoyake.
Vinginevyo kama waislael ni dini sio nasaba sawa ila kama ni DNA basi tumeoigwa
Ndivyo ambavyo hizi vita huwa. Hata kama umemzidi vipi nguvu adui, kile kitendo cha kukuingiza kwenye mapigano kila siku kinachosha sana. Labda uwe tayari kumuangamiza kabisa kabisa, bila ya hivyo mwishoni lazima akushinde.