Mambo hadharani wana-Udsm. poleni na wengine hongereni..!
wewe umeangalia aris gani mkuu mbona hakina matokeo
wewe umeangalia aris gani mkuu mbona hakina matokeo
hudaiwi ada ya mwaka huu?? kama unadaiwa huwez kuyaona matokeo yakowewe umeangalia aris gani mkuu mbona hakina matokeo
hudaiwi ada ya mwaka huu?? kama unadaiwa huwez kuyaona matokeo yako
hudaiwi ada ya mwaka huu?? kama unadaiwa huwez kuyaona matokeo yako
eenh! dada you must be kidding!
ada na matokeo? hii system imeanza lini?
wewe umeangalia aris gani mkuu mbona hakina matokeo
basi utakua ume disko mbona Mimi matokeo nayaona
mbona haijasoma bhana.....wewe upo college gani kwani?
Haiwezekani uyaone peke yako mkuu labda wewe ndio unamatatizo