Aris-Udsm

Aris-Udsm

elnino

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
75
Reaction score
26
Mambo hadharani wana-Udsm. poleni na wengine hongereni..!
 
wewe umeangalia aris gani mkuu mbona hakina matokeo
 
eenh! dada you must be kidding!

ada na matokeo? hii system imeanza lini?

am not kidding dude!!
yani system imekuwa set according to standing debts alizo nazo mwanafunzi. kama huna deni kwa huo mwaka utayaona matokeo na kama unalo huwez kuyaona.

huu ni utaratibu wa siku nyingi toka chuo kilipo introduce cost sharing na has pale ambapo ada wanafunzi wanakopeshwa nusu nusu kinyume na enzi zile ambazo wanafunzi walikuwa wanalipiwa ada yote
 
Kuna colleges zinarelease matokeo baada tu ya kuwa discussed kwenye college. Nimeambiwa kwamba matokeo yote yatapelekwa Senate Jumatatu tar 4 Aug.

College kama CoET hayajatoka
 
Back
Top Bottom