Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Akiwa mcheza sinema anafikiri mtazamo wake ndo unakuwa kweli?
Muongo tu na masinema yake ya uongo, ametona wajinga kwamba hadi anaanza kutuambia mambo ya baada ya kifo
ashawahi kufa akapata uzoefu?
atulie tu azeeke vizuri
 
Umekuja pazuri kweli, Sayansi imetoa majibu yapi kuhusu uwepo wa MUNGU?
 
Fikiria kidogo tu kma duniani kuna mahkama za kuwahukumu walokosea kwanini ukifa iwe ndo imeisha yni umkosee Muumba au ufanye Mema halafu Muumba asikulipe kweli!

Dah ni fikra ndogo tu hiyo
Jipe moyo dunia itakuwepo mabilion na mabilion ya miaka haina mwisho hii, ukifa ndio nitoleeni, endeleeni na hizo hadithi zenu.
 
Amini Biblia usiamini watu 100%
 
Vuta picha binadamu wote duniani wangekuwa hawaamini Mungu yupo au hawafati mafundisho ya dini. Watu tungekuwa kama wanyama. Na crime rate ingekuwa kubwa sababu ya kukosa hofu ya Mungu
Hili la crime ni utetezi usio na maana, tungejiwekea sheria kali kama za kwenye vitabu vya dini.

Then, sisali na sifanyi crime yoyote naogopa jela sio moto wakufikirika
 
God is really don't stop to bealive in him

Point of correction.

Bealive⛌
Believe[emoji736]

God is really⛌
God is real[emoji736]

"God is really don't stop to believe in him"? Soma tena ulichoandika! Unapinga au unakubali kuwa Mungu yupo?
 
Kiburi cha uzima hiki God is really
 
Maisha ana formula once ukizaliwa lazima ufe! Utakufaje? ni juhudi zako
 
Umekuja pazuri kweli, Sayansi imetoa majibu yapi kuhusu uwepo wa MUNGU?
Kuna sehemu hapo nimetaja sayansi imetoa majibu kuhusu uwepo wa Mungu?

Nime kwambia hivi , Imani ya binadamu ilifeli kuwapa majibu na uthibitisho wa maswali yao yaliyo watatiza.
(mfano wa maswali hayo ni kama, kifo ni nini? Maisha ni nini?)

Waka anza uvumbuzi na ugunduzi wa Kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…