African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Compare marekani ambapo hawaipi kipaumbele dini na nchi kama saudi arabia.. wapi kwenye crime rate kubwa?Binadamu hawahitaji dini ili kujua jema.na baya.
Kujua wema na ubaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Compare marekani ambapo hawaipi kipaumbele dini na nchi kama saudi arabia.. wapi kwenye crime rate kubwa?Binadamu hawahitaji dini ili kujua jema.na baya.
Kujua wema na ubaya.
Tatizo uwezo wake mdogo sana ila Wacha tumfumbue macho kidogoNaona ameshindwa kuthibitisha uwepo wake nika ona tusi endeleze mjadala zaidi na yeye.
Ukiachana na ulimwengu. Jinsi binadamu tu alivyotengenezwa yani ujuzi uliotumika kumtengeneza binadamu sio wa kawaida na kila kitu kimepangika vizuri kabisa hakika kuna nguvu yenye ujuzi na uwezo usio wa kawaida ambayo tunasema ni MunguKwa jinsi ulimwengu ulivyo hivi lazima kunaalie utengeneza. Haukutokea bure bure, sasa ninyi kazeni vichwa kisa mmesoma vitabu vya akina Aristotle ambao nawenyewe hawapo walisha fukiwa na udongo
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Nani aliyekwambia Marekani ni nchi isiyoipa dini kipaumbele?Compare marekani ambapo hawaipi kipaumbele dini na nchi kama saudi arabia.. wapi kwenye crime rate kubwa?
Source: Trust me broNani aliyekwambia Marekani ni nchi isiyoipa dini kipaumbele?
Lete chanzo Cha Taarifa yako
Hivi unajua mifumo aliyonayo binadamu ndio ipo pia kwa Mbuzi , kondoo, Tembo au panya.Ukiachana na ulimwengu. Jinsi binadamu tu alivyotengenezwa yani ujuzi uliotumika kumtengeneza binadamu sio wa kawaida na kila kitu kimepangika vizuri kabisa hakika kuna nguvu yenye ujuzi na uwezo usio wa kawaida ambayo tunasema ni Mungu
Trust me bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Source: Trust me bro
Atakwenda kujionea, wapi huko???ngoja afe atakwenda kujionea mwenyewe.bora kuamini ipo.kuliko kutokuamini alaf ukafa ukakuta ipo.utajua haujui
Ukifa umekufa ndugu yangu, acha mbwembwe
Mbona unaruka ruka tena boss? Embu rudi pale nilipojibu kuwa twende na tafsiri yako ya imani tuachane na ya ukristo.Kama imani " Ni kuwa na hakika" kwa mujibu wa maandiko ya kikristo mnashindwa vipi kumthibitisha Mungu yupo aka thibitika kwa hakika yupo.
Imani yenu hiyo ina uhakika kweli?
Mbona mnadai yupo Lakini hamjui yuko wapi?
kwani kabla ya wewe kuwepo duniani ulikuwa wap?
kati yangu mimi na wewe nani wa kwanza kumuuliza swali mwenzake?Na Mimi nipe maana zake kwanza.
Kama hujui kwa nini usemee jambo usilo lijua!
nilikuuliza kama gari linaweza likawa limetokea tu bila kutengenezwa ukajibu haiwezekani.ila kwa binadamu hauamini kama katengenezwa?kweli akili ni nyweleMimi nasema Hayupo lakini, Ngoja tukubaliane Kuto kukubaliana, kila mmoja abakie na mtazamo wake.
Gari lime tengenezwa na binadamunilikuuliza kama gari linaweza likawa limetokea tu bila kutengenezwa ukajibu haiwezekani.ila kwa binadamu hauamini kama katengenezwa?kweli akili ni nywele
Imani ni kutokuwa na uhakika.Mbona unaruka ruka tena boss? Embu rudi pale nilipojibu kuwa twende na tafsiri yako ya imani tuachane na ya ukristo.View attachment 2687196
Haziwezi kuchunguzika kwasababu hayupo tu.Akili za MUNGU hazichunguziki...
Hapa kunakitu umeongea kinaonesha jinsi gani hauna uelewa na sayansi ya anga.So you agree that behind ever creation there is a creator?!!!
Everything starts after the sun comes into existence....before the sun there was no life that is perceived...the creator has no life...the creator does not exist in this existence which depends on the SUN....
Utazalisha maswali mengi ambayo utashindwa kuyajibu.Everything starts after the sun comes into existence.
Mkuu, inawezekana imani imetoa majibu mengi kuliko sayansi.Imani ni kutokuwa na uhakika.
Hao binadamu baada ya kuona imani zao haziwapi majibu ya maswali mengi waka anza uvumbuzi na ugunduzi wa Kisayansi.
Imani ilifeli na mpaka sasa imefeli Sayansi ndio imefanikiwa kutoa majibu mengi kwa binadamu kuliko imani.
Nime kuelewa mkuu [emoji817][emoji817]Mkuu, inawezekana imani imetoa majibu mengi kuliko sayansi.
Lakini majibu hayo yote siyo sahihi ili kuwafanya watu wajinga wawe confortable.
Sayansi imetoa majibu yaliyo sahihi tu,
Sayansi hukiri kutojua kitu ambacho bado haijakifungua., lakini imani inajibu la kila kitu, na majibu hayo huwa ni ya uongo.