Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Ndio jifunze sayansi na elimu kuhusu viumbe.

Jifunze mifumo mbalimbali inavyofanya kazi ya mwili.

Usingeweza kuuliza swali la kijinga mjinga wewe.

Jielimishe
kati ya sayansi na quran ipi ni ya kwanza kuja duniani?
 
Ndio jifunze sayansi na elimu kuhusu viumbe.

Jifunze mifumo mbalimbali inavyofanya kazi ya mwili.

Usingeweza kuuliza swali la kijinga mjinga wewe.

Jielimishe
hv nikikwambia mifumo ya gari ilivyo mpaka gari inatembea.hakuna aliyeitengeneza utabisha?
 
hv nikikwambia mifumo ya gari ilivyo mpaka gari inatembea.hakuna aliyeitengeneza utabisha?
Hujanijibu maswali yangu
Nini maana ya Sayansi?
Nini maana ya Quraan?
Nini maana ya Torah?
Nini maana ya Torati?
 
Nini maana ya Sayansi?
Nini maana ya Quraan?
Nini maana ya Torah?
Nini maana ya Torati?
acha kuruka ruka.rudi kwenye swali la msingi kati ya quran na sayansi ipi ya kwanza kuja duniani?
 
acha kuruka ruka.rudi kwenye swali la msingi kati ya quran na sayansi ipi ya kwanza kuja duniani?
Kabla ya kujua kipi kimeanza lazima tujue maana ya kila Moja.

Ndio nimekuuliza
Sayansi ni nini?
Quraan ni nini?
Torah ni nini?
Torati ni nini?
 
Kabla ya kujua kipi kimeanza lazima tujue maana ya kila Moja.

Ndio nimekuuliza
Sayansi ni nini?
Quraan ni nini?
Torah ni nini?
Torati ni nini?
mimi swali langu dogo tu.nashindwa kuelewa unapata tabu wapi.sina haja ya kujua maana zake.nimekuuliza kati ya quran na sayansi ipi ya kwanza kuja duniani hilo tu.
 
Shuleni ulisoma topic ya Reproduction kweli na sababu za watu kushindwa kupata watoto?

Mambo ya sterility, impotence, premature ejaculations n.k?
sawa nikikwambia magari yametokea kwa bahati tu hakuna aliyeyatengeneza utaamini?
 
Tafsiri ya imani katika maandiko ya kikristo inaanza na " Ni kuwa na hakika" Ila twende na hii hii ya kwako ili tuelewane. NIMEIKUBALI.

Sasa Kama wao hawakuwa na uthibitisho wakaja na imani, wewe unakuja na nini ili kufuta imani?
Kama imani " Ni kuwa na hakika" kwa mujibu wa maandiko ya kikristo mnashindwa vipi kumthibitisha Mungu yupo aka thibitika kwa hakika yupo.

Imani yenu hiyo ina uhakika kweli?
Mbona mnadai yupo Lakini hamjui yuko wapi?
 
Ndio jifunze sayansi na elimu kuhusu viumbe.

Jifunze mifumo mbalimbali inavyofanya kazi ya mwili.

Usingeweza kuuliza swali la kijinga mjinga wewe.

Jielimishe
Umempa jibu fupi na zuri sana! litamsaidia kama atalitilia maanani
 
Hapana sita amini.

Na kwa nini una amini Mungu alitokea kwa bahati tu pasipo kutengenezwa?

Mimi SIAMINI magari yalitokea tu bila kutengenezwa, Vivyo hivyo Siamini Mungu alitokea tu kwa bahati.
sasa mbona mungu anakwambia kaumba watu unakataa.
 
Back
Top Bottom