mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ngoja afe atakwenda kujionea mwenyewe.bora kuamini ipo.kuliko kutokuamini alaf ukafa ukakuta ipo.utajua haujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupo
Hahaha ,sehemu isiyo julikana,wewe hukotokea tu ka mzuka,ulitengenezwa,simu zipo kwa kuwa kuna kiwanda,wewe upo kwa kuwa yupo aliyekutengeneza,Yuko wapi?
"We don’t know what happens with the soul and all this spiritual stuff that I’m not an expert in"
Keshasema siyo expert wa mambo ya kiroho hivyo hana uhalali wa kuhitimisha.
Wote tupo kwenye chungu ambacho hatujui nje kuna nini. Kila mtu anaweza kuwa sahihi au asiwe sahihi. Ni suala la kuchagua.
KWA WOTE TULIOAMUA KUAMINI MUNGU YUPO NA KUNA MBINGU, TUPO SAHIHI MPAKA PALE TUTAKAPOKUWA HATUPO SAHIHI. HAWA WASIO TAKA KUAMINI HIVYO WANA SABABU ZAO ZISIZO NA MAANA KWETU KWA SASA.
Kama mimba yako ilitungwa na binadamu na unataka uheshimiwe basi ni sahihi kuheshimu mambo mengine hata kama unafikiri yametokana na binadamu.
sina tatizo na hilo.Na wao wapo sahihi kama wewe unavyoona upo sahihi.
Usihamishe hoja. Hoja sio chanzo cha utungwaji wa mimba.Kwani mimba yako ilitungwa na nini ndugu? Au na wewe ni stori za bikira maria?
Usihamishe hoja. Hoja sio chanzo cha utungwaji wa mimba.
Umesapoti kutokuheshimu wazo la uwepo wa MUNGU kwa sababu unafikiri limetoka kwa binadamu ndo maana nikakuambia kama mimba yako ilitokana na binadamu na unataka kuheshimiwa basi kigezo cha kutokueshimu wazo la uwepo wa MUNGU sababu unafikiri limetoka kwa binadamu halina maana.
A God that has to threaten you with Hell, Diseases and Sufferings for you to recognize him as God is nothing but a man made scare.ngoja afe atakwenda kujionea mwenyewe.bora kuamini ipo.kuliko kutokuamini alaf ukafa ukakuta ipo.utajua haujui
Nina hakika huna logical consistency yoyote kwenye msimamo wako wa kutoamini uwepo wa MUNGU.Hukuwahi kuelewa ninacho claim sina shida na kuamini kwako
Ninaweza kuamini wewe ni mbuzi sio tatizo.tatizo nikiambiwa nithibitishie hoja hiyo bila kuwepo kwa mkanganyiko.
Endelea kuamini na ninaheshimu kuamini kwako.
Ila ukitaka kwenye logical consistency na hizo stori wa mungu wa kutungwa huna cha kusema zaidi ya kusema hachunguziki
aliyekuleta duniani ni nani?A God that has to threaten you with Hell, Diseases and Sufferings for you to recognize him as God is nothing but a man made scare.
Mungu anaye tumia Magonjwa, Mateso na Jehanamu la moto ili atambulike na wanadamu kwamba yeye ni Mungu, Huyo sio Mungu bali ni Hofu za kutengenezwa na wanadamu.
[emoji7]Tukiwa wazima huwa tunatamba na kuongea vyovyote kwa mbwembwe, subri tuelekee kwenye point of no return hapo balaa linaanza.
Katika Ulimwengu huu mwanadamu ni punje ndogo sana kuliko mchanga wa bahari, anajifanya mjuaji wakati hata 0.00000001% ya Ulimwengu huu haijui.
Ukimuuliza habari za baharini hata 10% hajui halafu anatunishiana misuli na MUNGU MKUU SANA aliyeumba vyote hivyo na kuviwekea mfumo wa kujiendesha
Kama yupo anayeweza kujiongezea japo miaka walau afikishe 2500 basi nitaelekea kusikiliza hoja zaje, nje ya hapo ni mpango wa Shetani na wafuasi wake waliouza nafsi zao kwa Lucifer kuwahadaa wana wa Mungu eti hakuna maisha baada ya kifo au Mungu hayupo ili mwisho wawe wengi huko motoni.
Allah ,Yahweh ,Ngai wana tofauti gani ?!!!Wakikaribia kufa huwa wanamkumbuka Mungu wa imani gani?
Vipi kama siku ya kufa we ukawa unamkumbuka Allah wakati kule juu yupo Yahweh, je hiyo itakuwa na manufaa yeyote kwako?
Sasa kwa mantiki hiyo ukiambiwa saizi uanze kumuabudu Yahweh utakubali kwasababu ya kuogopa siku yako ya kufa?
The one who codes genetic informations in our genome.....Nani alitengeneza galaxy?
There are religions which do not fear death but cherishes life that is bestowed upon us......Fear of death is the driving force of fuckn religions.
Nothing comes in being without being created....Kutokujua Galaxy ziliumbwa na nani si hitimisho la kusema ziliumbwa na Mungu kwa vile huwezi hata kuthibitisha kama kweli hizo Galaxy ziliumbwa bali ni mawazo yako tu, Unadhani na kuhisi Galaxy ziliumbwa.
Je kama Galaxy haziku umbwa?
Unaona hawana tofauti?Allah ,Yahweh ,Ngai wana tofauti gani ?!!!
Vyovyote aitwavyo....Ikiwa ni huyohuyo aliyeumba ulimwengu basi atakuwa na majina mengi kutokana na lugha na tamaduni za watu....
Utatu ni tafsiri ya wanaoamini hivyo.....Unaona hawana tofauti?
Yehova ni Mungu mwenye mfumo wa utatu. Wakati Allah yeye jambo hilo halipo na ametoa maelekezo kwa wafuasi wake kuwa ni dhambi kumtaja yeye katika dhana hiyo.
Sasa utasemaje Allah na Yehova ni sawa wakati wanahitilafiana kwenye sheria zinazoamua hatma ya mtu kwenda peponi au motoni?