Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwani makatazo ya kuharamisha vitu ambavyo ukifanya kinyume na katazo unaweza kuadhibiwa kwa kupelekwa motoni, nayo sio mantiki?Utatu ni tafsiri ya wanaoamini hivyo.....
Mantiki ni moja tu....ingekuwa Yehova si aliyeumba mbingu na nchi basi angekuwa si huyo Allah.....
Wayahudi ndiyo waliyemtambulisha huyo Yehova....wao hawaamini katika huo utatu....sasa tuwapinge wayahudi na kuwaamini waislamu na Wakristo ilihali imani zao zinaanzia kwa huyo Yehova wa Jerusalem?!!!![]()
![]()
![]()
#YetzerHatovemoji120]![]()
#ShavuaTov![]()
Uislamu unapinga kwamba Mungu hana mtoto na ni kosa kubwa sana kwa imani yao. Sasa wewe unasema kosa hilo likifanywa bado inawezekana mtu huyo akaiona mbingu ya Allah?
Imani ya kikristo inasema huwezi kwenda mbinguni bila kupitia kwa Yesu, na kumfata Yesu ni pamoja na kubatizwa. Wakati kubatizwa ni dhambi kwenye Usilamu, so unachotaka kusema wewe ni kuwa hapo hakuna tatizo?