mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
wewe umesema binadamu ni mnyama.nikakwambia umeshawah kumuona mnyama kavaa suti ukajibu ndio.nikakwambia niwekee picha ya mbuzi kavaa suti huna.kiufupi wazungu wanawadanganya sana.binadamu hawez kuwa sawa na mnyama.kwenye quran sijawah kufundishwa kuwa binadamu ni sawa na mnyama.JAPO UNAJIONA UMESOMA LAKINI HAUJAELIMIKATulia bwana mdogo na upeo wako finyu.
Kwani wewe mjinga sio Binadamu?
Embu post picha ukiwa huna nguo.
unaambiwa binadamu wa kwanza alikuwa sokwe unafurahi.lakn mungu anasema nimemuumba adamu kwa udongo unakataa.ila mzungu kaokota fuvu tu.mnamuamini.wewe utajifananisha vpi na mnyama mwenye miguu minne?hana akili,ana ngozi tofauti na yako.ana mapembe ,anajisaidia mbele za watu,anakula majani n.k.yaani kwa ufupi binadamu na mnyama ni tofauti.amka kijana.acha kudanganywa na mzungu.sio kila analosema mzungu yuko sawa.Tulia bwana mdogo na upeo wako finyu.
Kwani wewe mjinga sio Binadamu?
Embu post picha ukiwa huna nguo.
Binadamu ni mnyamawewe umesema binadamu ni mnyama.nikakwambia umeshawah kumuona mnyama kavaa suti ukajibu ndio.nikakwambia niwekee picha ya mbuzi kavaa suti huna.kiufupi wazungu wanawadanganya sana.binadamu hawez kuwa sawa na mnyama.kwenye quran sijawah kufundishwa kuwa binadamu ni sawa na mnyama.JAPO UNAJIONA UMESOMA LAKINI HAUJAELIMIKA
nikikwambia wewe ni sawa na ng'ombe utakubali?Binadamu ni mnyama
Unachokataa ni kipi?
Hivi huu upuuzi unautoa wapi
Nami nimekwambia tuma picha ukiwa haujavaa nguo
kusingekuwa na maisha baada ya kifo.tusingekuwa tunakufa.Hamna maisha baada ya kifo! Ukifa ni kama bulb imeungua biashara imeisha! Haya mengine tunayo farijiana ni kupunguza ukali wa nadharia ya kifo chenyewe!
Kwani tulitokea wapi!!?
Wote ni Carbon basednikikwambia wewe ni sawa na ng'ombe utakubali?
Kwa nini uhitaji maisha mengine ndio uweze kufa?kusingekuwa na maisha baada ya kifo.tusingekuwa tunakufa.
unamjua aliyeumba kifo?Kwa nini uhitaji maisha mengine ndio uweze kufa?
Mti unapofika mwisho wa uhai, je una maisha mengine?
wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?Wote ni Carbon based
Wote tuna mitochondria
Wote ni phylum Chordata
Wote tunatumia Lungs kama respiratory organ.
Wote Tupo kingdom Animalia
Wote tuna five senses
Wote tuna four limbs
Sasa kwa nini nikatae?
Vipi wewe na mchanga/udongo mna nasaba?
ulishawahi kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu?Wote ni Carbon based
Wote tuna mitochondria
Wote ni phylum Chordata
Wote tunatumia Lungs kama respiratory organ.
Wote Tupo kingdom Animalia
Wote tuna five senses
Wote tuna four limbs
Sasa kwa nini nikatae?
Vipi wewe na mchanga/udongo mna nasaba?
Kifo hakijaumbwaunamjua aliyeumba kifo?
Hivi elimu yako mwisho Darasa gani?wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
Kwa nini ule, unakula ili update nini?wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
Ndio ambaye ni wewe maana huna akili.ulishawahi kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu?
mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundishoNdio ambaye ni wewe maana huna akili.
Unafahamu viumbe vyote vinafanana halafu vimetofautiana?
Hivi hicho kitu huwa unakieleweje?
Taxonomic Hierarchy
Examples
Kingdom
Phylum
Class
Order
Family
Genus
Species
Sasa mjinga mimi tuhamie kwenye phase ngumu zaidi ya maswali maana haya ya Sasa hata mtoto mdogo anajibu.wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
Kuamini uhitaji ushahidi ili uamini.mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho
unajua fika kuwa binadamu ametokana na manii ya mwanaume.pamoja na yai la mwanamke.ili mwanaume azalishe mbegu anatakiwa ale chakula ambacho kinatoka udongoni.Kwa nini ule, unakula ili update nini?
Vipi uhusiano wa udongo na chakula?
Vipi uhusiano wa jua na chakula?
Kuamini au kutoamini hakumfanyi kiumbe asiwepo au awepo kwenye kundi fulani.mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho