Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Ww una utindio wa ubongo
 
Ww una utindio wa ubongo
Tufanye nina utindio wa ubongo kama unavyosema, for argument's sake.

Ikiwa mimi nina mtindio wa ubongo kweli, hata huo mtindio wangu wa ubongo utakuwa ni ushahidi kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, Mungu huyo angekuwepo, asingekuwa mkatili hivyo kuumba ukimwengu ambao viumbe wake wanaweza kuwa na mtindio wa ubongo, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na viumbe wenye mtindio wa ubongo.

Wewe umeona kama unanikashifu, kumbe hata hiyo kashfa yako inazidi kuthibitisha point yangu.
 
Nani alitengeneza galaxy?
Kwa nini unadhani lazima awepo mtengenezaji wa galaxy?

Na huyo mtengenezaji wa galaxy kama yupo kwa nini huwazi na yeye ali tengenezwa na nani?

Kwa nini uwaze na kuamini tu, Galaxy zina mtengenezaji na hazijaweza kujitengenezea zenyewe ila unawaza na kuamini mtengeneza galaxy ameweza kujitengenezea mwenyewe?
 
Ukishindwa kuandika sentensi fupi iliyonyooka ya Kiswahili, unanipa shaka kama utaweza kufanya maongezi anuai kuhusu hoja tunduizi kwenye mambo kadhaa dhahania ya mantiki na falsafa ya dini na uwepo wa Mungu.
🚮🚮🚮🚮
 
Ukitaka kusema mwanadamu exists unatakiwa uthibitishe katokea wapi, wewe ni mwanadamu, do u exists? Umetokea wapi? Thibitisha umetokea kwa nyani
Huyo kiranga anajitoaga fahamu tu, wameleta mafundisho potofu kwamba binadamu katokana na nyani ambayo hadi leo watoto wanafundishwa mashuleni ili kuua ukweli wa uumbaji wa Mungu Mkuu.
 
Huyo kiranga anajitoaga fahamu tu, wameleta mafundisho potofu kwamba binadamu katokana na nyani ambayo hadi leo watoto wanafundishwa mashuleni ili kuua ukweli wa uumbaji wa Mungu Mkuu.
Mbona na nyie mmekuja na mafundisho potofu kuwa kuna nyoka alikuwa anaongea na mtu na kufanikiwa kumshawishi kula tunda.

Au we kwako hiyo story unaona imekaa fresh?
 

Give him the nod
We need smart people like schwarzenegger.
 
Mwanadamu akisha kua na pumzi kila kitu anaweza kusema

Ila subiri aumwe na kichwa tu atahangaika kuutafuta Uzima bcz anaogopa kifo

sasa umeongea nini hapa? Kwanini asitafute uzima wakati anaumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…