fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Jamaaa unanikosha SANAAA,yani jamaaa ndo mana anatembea na MLINZI aiseee maaana kuna watu wanachuki na mondi sijui kwa nnKwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Halafu umesema inasikitisha lakini hakuna kinacho sikitisha kwenye habari yako zaidi ya kuchekesha...hivi wewe unaweza kujua ratiba za kwao Zari kuzidi Zari mwenyewe?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....
Huyo ameshakufa harudi,acha watu watengeneze pesa!Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Maandalizi ya wewe mwanadamu unatakiwa uyaanze kabla hujaingia kaburini,hizo nyengiñe mbwembwe tu na hazina msaada wowote kesho kwa mungu.so wasimtolee povu bure zariKwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Halafu umesema inasikitisha lakini hakuna kinacho sikitisha kwenye habari yako zaidi ya kuchekesha...hivi wewe unaweza kujua ratiba za kwao Zari kuzidi Zari mwenyewe?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....
nenda dm insta yupo 24/7mmnh Zari nakutafuta,kama kuna mtu ana mawasiliano ya Zari ya moja kwa moja anipe please
Never.Duh!!!
Hii hatari kweli kweli.. jisikitikie
Never.
nenda dm insta yupo 24/7
Mkuu na Mimi ningependa kujua, so akisababisha nishtue.nifundishe jinsi ya kutuma message insta?🙂
Yap,maana wanamhusu.mkuu umekosea,umeenda hadi watoto wake?!
Yap,maana wanamhusu.
Maisha yake na familia yake na watoto wake wala watu hawakuyafata getini mlangoni kwake,aliyaleta mwenyewe mitandaoni.nini specific alichofanya,ambacho kinakuudhi mpaka kuamua kumuumiza yeye na watoto wake??mnh
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
achana na mimiAliyekuambia Zari ni muislam nani? Kisomo kinamsadia nini marehemu?
Maisha yake na familia yake na watoto wake wala watu hawakuyafata getini mlangoni kwake,aliyaleta mwenyewe mitandaoni.
ahaaaa kweli ngoja nikakimbie
achana na mimi