Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Hahhahahhaa we
Kwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Halafu umesema inasikitisha lakini hakuna kinacho sikitisha kwenye habari yako zaidi ya kuchekesha...hivi wewe unaweza kujua ratiba za kwao Zari kuzidi Zari mwenyewe?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....
Jamaaa unanikosha SANAAA,yani jamaaa ndo mana anatembea na MLINZI aiseee maaana kuna watu wanachuki na mondi sijui kwa nn
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Huyo ameshakufa harudi,acha watu watengeneze pesa!
 
Kwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Halafu umesema inasikitisha lakini hakuna kinacho sikitisha kwenye habari yako zaidi ya kuchekesha...hivi wewe unaweza kujua ratiba za kwao Zari kuzidi Zari mwenyewe?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....
Maandalizi ya wewe mwanadamu unatakiwa uyaanze kabla hujaingia kaburini,hizo nyengiñe mbwembwe tu na hazina msaada wowote kesho kwa mungu.so wasimtolee povu bure zari
 
mmnh Zari nakutafuta,kama kuna mtu ana mawasiliano ya Zari ya moja kwa moja anipe please
 
COTTON AND, AND YOUR CONDITION!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pambana na hali yako kwanza

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Huwezi jua masharti ya dawa yanasemaje Mkuu.
 
nini specific alichofanya,ambacho kinakuudhi mpaka kuamua kumuumiza yeye na watoto wake??mnh
Maisha yake na familia yake na watoto wake wala watu hawakuyafata getini mlangoni kwake,aliyaleta mwenyewe mitandaoni.
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.

Aliyekuambia Zari ni muislam nani? Kisomo kinamsadia nini marehemu?
 
achana na mimi

Jibu swali MAMA CHA UPASHKUNA.

ZARI MUSILAM TANGU LINI?

KISOMO NI NINI KWA MAREHEMU?

ACHA UPUMBAVU WA KI KISOMO! KIL ASIKU ZARI ZARI, WHY DONT YOU MIND YOU OWN BUSINESS YOUNG LADY?

AKILI YAKO KAMA KISOMO. SINA TATIZO N AWEWE, TATIZO LANGU NI TABIA ZAKO ZA KISHENZI KILA WAKATI UNAMTUKANA ZARI AS IF WEWE NI KIRANJA WA MAISHA YAKE. LEO NIMEONA NIKUAMBIE UKWELI PAMOJA NA MAPASHKUNA WENZAKO.

KAMA UNADHANI NI MUHIMU KUFANYA UNAYOTAKA, YAFANYE WEWE NA USILAZIMISHE ZARI AKUFUATE WEWE. WEWE UNA MAREHEMU WANGAPI KWENYE UKOO WAKO?

KAWAFANYIE VICHO VISOMO MARA NYINGI UPENDAVYO ILI WAPATE HAYO MANUFAA UANYOMLAZIMISHIA ZARI APATE.

ACHANA NA ZARI, ANA MAISHA YAKE NA WEWE HAYAKUHUSU. FANYA YAKO. ZARI ZARI. HUYO ZARI NI BIASHARA YAKO?

UPASHKUNA UTAKUTOA ROHO . FANYA YAKO ACHANA KABISA NA ZARI. SHE IS NOT YOUR TYPE, SHE IS NOT YOUR STANDARD AND SHE EVEN HAS NOTHING TO DO WITH YOUR WIVU, MATATIZO NA UJINGA WAKO.
 
Back
Top Bottom