fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Hahhahahhaa we
Jamaaa unanikosha SANAAA,yani jamaaa ndo mana anatembea na MLINZI aiseee maaana kuna watu wanachuki na mondi sijui kwa nnKwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Halafu umesema inasikitisha lakini hakuna kinacho sikitisha kwenye habari yako zaidi ya kuchekesha...hivi wewe unaweza kujua ratiba za kwao Zari kuzidi Zari mwenyewe?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....