Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ni Ushirikina / Shirki.

Arobaini haina umuhimu wowote...iwe kwa mama Diamond, mama Zari au yeyote yule.
 
pale unapoyajua maisha ya mwenzako zaidi kuliko yako...😀😀😀😀...ni bora kua na pesa na sio umaarufu
 
Aliyekuambia Zari ni muislam nani? Kisomo kinamsadia nini marehemu?
Marehemu ni mtu aliyekufa, kisomo hakimsaidii chochote.

Hata ile kusema eti inampunguzia adhabu ya Kabri ni pumba tu.
 
Kila mtu na maisha yake na ndugu zake hayatuhusu, maisha magumu nawaza nianzishe biashara gani nipate hata buku buku kwa siku.
 
Njaa mbaya sana, mpaka unawalaumu watu kwa mambo yasiyokuhusu.
 
Reactions: GUI
Ila leo shooting ya wimbo wa Diamond imewatoa povu. Mara harusi hahahhaah katuulizeni ss
Kuna wimbo Diamond anatoa soon or later sasa wakadanganya ni harusi bila shekh or padri. Yote ni kusoma seduce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na maisha yako wawe kwenye 40 wawe kwenye mziki uingizi pesa wala huna cha kuwafanya
 
Na nyie msiunge mkono.upupu anaofanya huyo mwanamke ingekua nyie mngefanya?
 
Kila mtu na maisha yake na ndugu zake hayatuhusu, maisha magumu nawaza nianzishe biashara gani nipate hata buku buku kwa siku.
Kuuza kashata kwa wanaume waongopee zinaongeza nguvu za kiume
 
M2 anapnga au anaamua namna yskuishiii anishi apendavyo cio mpendavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…