Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ni Ushirikina / Shirki.

Arobaini haina umuhimu wowote...iwe kwa mama Diamond, mama Zari au yeyote yule.
 
pale unapoyajua maisha ya mwenzako zaidi kuliko yako...😀😀😀😀...ni bora kua na pesa na sio umaarufu
 
Aliyekuambia Zari ni muislam nani? Kisomo kinamsadia nini marehemu?
Marehemu ni mtu aliyekufa, kisomo hakimsaidii chochote.

Hata ile kusema eti inampunguzia adhabu ya Kabri ni pumba tu.
 
Kila mtu na maisha yake na ndugu zake hayatuhusu, maisha magumu nawaza nianzishe biashara gani nipate hata buku buku kwa siku.
 
Njaa mbaya sana, mpaka unawalaumu watu kwa mambo yasiyokuhusu.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Ila leo shooting ya wimbo wa Diamond imewatoa povu. Mara harusi hahahhaah katuulizeni ss
Kuna wimbo Diamond anatoa soon or later sasa wakadanganya ni harusi bila shekh or padri. Yote ni kusoma seduce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na maisha yako wawe kwenye 40 wawe kwenye mziki uingizi pesa wala huna cha kuwafanya
 
Na nyie msiunge mkono.upupu anaofanya huyo mwanamke ingekua nyie mngefanya?
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
M2 anapnga au anaamua namna yskuishiii anishi apendavyo cio mpendavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom