Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

ni lini mtaacha kupangia watu jinsi yakuishi mko busy na mambo ya watu hadi 40 ya marehemu ya mtu wa mbaliii mnaikumbuka? ivi yeye na nyie nani mwenye uchungu wakufiwa
pambaneni na hali zenu
 
Mwache Zari, hana dini hivyo huko aliko ndo kunamstahili. Aende Ug kwani yeye ndo anaenda kukisoma hicho kisomo?? Angekuwa kule, kazi si kugawa chai na maandazi tu?? Hata mkaa haruhusiwi kuuleta wala ubani, wala chetezo. Ndo maana hakwenda. Sema jingine, kwani wadhani kwa kutokuwepo kwake, hitma haikusomwa??
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Oh oo oo!!!

-Ndumilakuwili-
 
MissNatafuta kwa vile unanivutia sana siwezi ku post maneno mabaya hapa!
Ila wewe hao jamaa waachie maisha Yao!
Waishi wanavyopenda ili mradi hawaingilii maisha yako!!
Hawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.

Mwisho wa siku ndiyo hao wanaotafuta wachumba humu ilihali wapo busy kufuatilia maisha ya watu wengine, ni nani yupo tayari kumuengage mtu ambaye muda wote yupo busy kufuatilia maisha ya watu ambao masikini ya Mungu hata kuwafahamu hawafahamiani..

Ni Aibu kwa kweli na sometime huwa nafikiria JF imekosa weredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…