Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]zari ni jambazi, dada ana roho ya kimafia asilimia 100 subilini mtaona atakachomfanya kaka yenu, si mnamcheka Mr nice subilieni mtaona
Ukipewa jibu fanya kun tag.
Duh!!!Zari ana laana..itamtafuna maisha yake yote!mwanamke alokosa haya kabisa
Duh!!!Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Huo ndiyo ukweli boxiOhooooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
-Ndumilakuwili-
Ohoooo!!!Yawezekana kuna jambo kubwa lilitokea kati ya mama na huyo bi wa5 siku za mwisho. Mana ilisemekana mama alisononeka sana Ivan alipokufa. Haijachukua mwezi nae akadanji
Duh ni shida kwa kweli nakumbuka hata kipindi cha mazishi alone kana Zari na mekapu za kufa mtu huwezi JUA kama kuondokewa na mama mzazikinachouma yule mama alikuwa muislam mwadilifu yaani.kwanini washindwe kumsitiri vizuri ?
Oh oo oo!!!Jibu swali MAMA CHA UPASHKUNA.
ZARI MUSILAM TANGU LINI?
KISOMO NI NINI KWA MAREHEMU?
ACHA UPUMBAVU WA KI KISOMO! KIL ASIKU ZARI ZARI, WHY DONT YOU MIND YOU OWN BUSINESS YOUNG LADY?
AKILI YAKO KAMA KISOMO. SINA TATIZO N AWEWE, TATIZO LANGU NI TABIA ZAKO ZA KISHENZI KILA WAKATI UNAMTUKANA ZARI AS IF WEWE NI KIRANJA WA MAISHA YAKE. LEO NIMEONA NIKUAMBIE UKWELI PAMOJA NA MAPASHKUNA WENZAKO.
KAMA UNADHANI NI MUHIMU KUFANYA UNAYOTAKA, YAFANYE WEWE NA USILAZIMISHE ZARI AKUFUATE WEWE. WEWE UNA MAREHEMU WANGAPI KWENYE UKOO WAKO?
KAWAFANYIE VICHO VISOMO MARA NYINGI UPENDAVYO ILI WAPATE HAYO MANUFAA UANYOMLAZIMISHIA ZARI APATE.
ACHANA NA ZARI, ANA MAISHA YAKE NA WEWE HAYAKUHUSU. FANYA YAKO. ZARI ZARI. HUYO ZARI NI BIASHARA YAKO?
UPASHKUNA UTAKUTOA ROHO . FANYA YAKO ACHANA KABISA NA ZARI. SHE IS NOT YOUR TYPE, SHE IS NOT YOUR STANDARD AND SHE EVEN HAS NOTHING TO DO WITH YOUR WIVU, MATATIZO NA UJINGA WAKO.
Njoo jukwaa la biashara kule upate madini ya kutosha.Kila mtu na maisha yake na ndugu zake hayatuhusu, maisha magumu nawaza nianzishe biashara gani nipate hata buku buku kwa siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njaa mbaya sana, mpaka unawalaumu watu kwa mambo yasiyokuhusu.
[emoji106]Mimi ninachotaka kusikia ni good music hayo mengine wanajua wao wenyewe na Mola wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi sote tulioguswa na kuumizwa na tukio hili twendeni Uganda tukafanye arobaini ya mama Zari jamani! [emoji19]
Teh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Team kiba, wanavyo jifanya wanauchungu na maisha ya team WCB
Hawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.MissNatafuta kwa vile unanivutia sana siwezi ku post maneno mabaya hapa!
Ila wewe hao jamaa waachie maisha Yao!
Waishi wanavyopenda ili mradi hawaingilii maisha yako!!
Hawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.MissNatafuta kwa vile unanivutia sana siwezi ku post maneno mabaya hapa!
Ila wewe hao jamaa waachie maisha Yao!
Waishi wanavyopenda ili mradi hawaingilii maisha yako!!