Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

ni lini mtaacha kupangia watu jinsi yakuishi mko busy na mambo ya watu hadi 40 ya marehemu ya mtu wa mbaliii mnaikumbuka? ivi yeye na nyie nani mwenye uchungu wakufiwa
pambaneni na hali zenu
 
Mwache Zari, hana dini hivyo huko aliko ndo kunamstahili. Aende Ug kwani yeye ndo anaenda kukisoma hicho kisomo?? Angekuwa kule, kazi si kugawa chai na maandazi tu?? Hata mkaa haruhusiwi kuuleta wala ubani, wala chetezo. Ndo maana hakwenda. Sema jingine, kwani wadhani kwa kutokuwepo kwake, hitma haikusomwa??
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Jibu swali MAMA CHA UPASHKUNA.

ZARI MUSILAM TANGU LINI?

KISOMO NI NINI KWA MAREHEMU?

ACHA UPUMBAVU WA KI KISOMO! KIL ASIKU ZARI ZARI, WHY DONT YOU MIND YOU OWN BUSINESS YOUNG LADY?

AKILI YAKO KAMA KISOMO. SINA TATIZO N AWEWE, TATIZO LANGU NI TABIA ZAKO ZA KISHENZI KILA WAKATI UNAMTUKANA ZARI AS IF WEWE NI KIRANJA WA MAISHA YAKE. LEO NIMEONA NIKUAMBIE UKWELI PAMOJA NA MAPASHKUNA WENZAKO.

KAMA UNADHANI NI MUHIMU KUFANYA UNAYOTAKA, YAFANYE WEWE NA USILAZIMISHE ZARI AKUFUATE WEWE. WEWE UNA MAREHEMU WANGAPI KWENYE UKOO WAKO?

KAWAFANYIE VICHO VISOMO MARA NYINGI UPENDAVYO ILI WAPATE HAYO MANUFAA UANYOMLAZIMISHIA ZARI APATE.

ACHANA NA ZARI, ANA MAISHA YAKE NA WEWE HAYAKUHUSU. FANYA YAKO. ZARI ZARI. HUYO ZARI NI BIASHARA YAKO?

UPASHKUNA UTAKUTOA ROHO . FANYA YAKO ACHANA KABISA NA ZARI. SHE IS NOT YOUR TYPE, SHE IS NOT YOUR STANDARD AND SHE EVEN HAS NOTHING TO DO WITH YOUR WIVU, MATATIZO NA UJINGA WAKO.
Oh oo oo!!!

-Ndumilakuwili-
 
MissNatafuta kwa vile unanivutia sana siwezi ku post maneno mabaya hapa!
Ila wewe hao jamaa waachie maisha Yao!
Waishi wanavyopenda ili mradi hawaingilii maisha yako!!
Hawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.

Mwisho wa siku ndiyo hao wanaotafuta wachumba humu ilihali wapo busy kufuatilia maisha ya watu wengine, ni nani yupo tayari kumuengage mtu ambaye muda wote yupo busy kufuatilia maisha ya watu ambao masikini ya Mungu hata kuwafahamu hawafahamiani..

Ni Aibu kwa kweli na sometime huwa nafikiria JF imekosa weredi
 
Back
Top Bottom