uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.
Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.
Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.