Arsenal haijacheza na timu bora tuipime, kusema watachukua ubingwa ni matusi makubwa kwa wapenda mpira

Arsenal haijacheza na timu bora tuipime, kusema watachukua ubingwa ni matusi makubwa kwa wapenda mpira

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.

Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.

Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.

Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.

Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.

Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.

Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.

Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.

Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
 
Mtateseka sana
IMG-20221227-WA0009.jpg
 
Timu kubwa ipi ambayo Arsenal Haijacheza nayo?

Liverpool 2 - 3 Arsenal

Arsenal 3 - 1 Tottenham

Chelsea 0 - 1 Arsenal

Man u 3 - 1 Arsenal

Sasa sijajua unaongelea timu kubwa ipi,kama ni Man city hata wao wanaohofia kukutana na Arsenal
 
Man city ataifunga Arsenal, ila ikitokea akafungwa Arsenal itakuwa imelisogelea kombe kwa 90%.
 
Unadhani mpira wa Ulaya kama
Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde
Mpira saivi ni formula tu ukiingia
Kwenye mfumo wa mtu unakaa

Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu😅😅😅
 
Msimu huu Arsenal tayari kamfunga Chelsea, Liverpool, Spurz mkubwa aliempiga Arsenal ni Man u tu na man city bado hajacheza nae ukiachana na hao kuna newcastle ambae safari hii anasumbusumbua hata watoto wanaosumbua vigogo wakina brighton na brentford uko gunners anawapiga kiulaini tu labda useme atakosa kombe akianza kupata majeruhi ya wachezaji muhimu maana Arteta hana kikosi kipana.
 
Arsenal wanasema "mwaka huu ngoma ya watoto itakesha". Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wana tabia ya kuidharau sana arsenal wanadai ni watoto na wanadai ngoma ya watoto haikeshi!!
 
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.

Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.

Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.

Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.

Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu km saliba na margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo km yule.

Uchukue ubingwa nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao leicester walikuwa na vardy ngolo,mahrez walikuwa wakali kuliko saka,martnel na partey.

Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.

Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa epl hawachukui.

na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wakiutu uzima zaidi km alivyo ancelot wa madrid.
Hebu taja timu yako ngumu ambayo unaona kabisa inaweza kufanya Arsenal asiwe Bingwa?
 
Arsenal katika mechi 16 za EPL tumeshinda 14 tumefungwa 1 na sare 1...perfomance zaidi ya asilimia 90
 
Liverpool na chelsea zilikuwa ICU wakati wanacheza na arsenal

Back
Top Bottom