Arsenal haijacheza na timu bora tuipime, kusema watachukua ubingwa ni matusi makubwa kwa wapenda mpira

Kuchukua ubingwa sio huruma ni uwezo
Yani sisi Arsenal kuchukua kombe mara moja kwenye miaka yote hiyo ndo mnaona kama tutafaidiika!

Mbona nyie mmechukua mara kibao, tena mlikua mnapokezana kabisa.

Chuki zitawaua nyie maibilisi wekundu!
 
Arsenal haina timu ya kubeba ubingwa wa epl
Unadhani mpira wa Ulaya kama
Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde
Mpira saivi ni formula tu ukiingia
Kwenye mfumo wa mtu unakaa

Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Arsenal alicheza na liverpool na chelsea zikiwa icu
Spurs huwa simuhesabu km kigogo
 
Huyo wa man atafukuzwa kabla ya jua kuchwa
 
Hawatoboi
Arsenal wanasema "mwaka huu ngoma ya watoto itakesha". Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wana tabia ya kuidharau sana arsenal wanadai ni watoto na wanadai ngoma ya watoto haikeshi!!
 
Liverpool na chelsea zilikuwa ICU wakati wanacheza na arsenal
Kwahiyo Chelsea ya kipindi kile na Chelsea ya saizi ipi ina unafuu?

Sawa Arsenal habebi ubingwa, kwahiyo bingwa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…