Arsenal haijacheza na timu bora tuipime, kusema watachukua ubingwa ni matusi makubwa kwa wapenda mpira

Duuuh
Watu wanaumia jamani.

Huyu mtu anaweza hata kujinyonga afe, kuliko kuona GUNNERS wanabeba ndoo.

Watu wanaomfahamu wawe karibu naye sama huyu, tunaweza kumpoteza kimasihara tuu.
 
Hebu rudia tena huu Utopolo wako
 

Kuna watu mnajua kuusoma mchezo
 
Kwba Arsenal Ilikuwa basikeli ya kunolea visu kwenye mabucha?
 
Timu kubwa ipi ambayo Arsenal Haijacheza nayo?

Liverpool 2 - 3 Arsenal

Arsenal 3 - 1 Tottenham

Chelsea 0 - 1 Arsenal

Man u 3 - 1 Arsenal

Sasa sijajua unaongelea timu kubwa ipi,kama ni Man city hata wao wanaohofia kukutana na Arsenal
Naww ukawa bize kutype hivi.
 
Unadhani mpira wa Ulaya kama
Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde
Mpira saivi ni formula tu ukiingia
Kwenye mfumo wa mtu unakaa

Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Mkuu skuelewi kabisa.
 
Mwamba huyu hapa
 
Arsenal wanasema "mwaka huu ngoma ya watoto itakesha". Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wana tabia ya kuidharau sana arsenal wanadai ni watoto na wanadai ngoma ya watoto haikeshi!!
Kwani ilishawahi kukesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ