Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JanaTimu kubwa ipi ambayo Arsenal Haijacheza nayo?
Liverpool 2 - 3 Arsenal
Arsenal 3 - 1 Tottenham
Chelsea 0 - 1 Arsenal
Man u 3 - 1 Arsenal
Sasa sijajua unaongelea timu kubwa ipi,kama ni Man city hata wao wanaohofia kukutana na Arsenal
DuuuhUkweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu km saliba na margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo km yule.
Uchukue ubingwa nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao leicester walikuwa na vardy ngolo,mahrez walikuwa wakali kuliko saka,martnel na partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa epl hawachukui.
na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wakiutu uzima zaidi km alivyo ancelot wa madrid.
Hebu rudia tena huu Utopolo wakoUkweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu km saliba na margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo km yule.
Uchukue ubingwa nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao leicester walikuwa na vardy ngolo,mahrez walikuwa wakali kuliko saka,martnel na partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa epl hawachukui.
na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wakiutu uzima zaidi km alivyo ancelot wa madrid.
Rudia wewe aaahHebu rudia tena huu Utopolo wako
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.
Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.
Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
SawsawaMtateseka sanaView attachment 2465883
Naww ukawa bize kutype hivi.Timu kubwa ipi ambayo Arsenal Haijacheza nayo?
Liverpool 2 - 3 Arsenal
Arsenal 3 - 1 Tottenham
Chelsea 0 - 1 Arsenal
Man u 3 - 1 Arsenal
Sasa sijajua unaongelea timu kubwa ipi,kama ni Man city hata wao wanaohofia kukutana na Arsenal
Mkuu skuelewi kabisa.Unadhani mpira wa Ulaya kama
Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde
Mpira saivi ni formula tu ukiingia
Kwenye mfumo wa mtu unakaa
Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu😅😅😅
Tunaisubiri hiyo sikuNyie endeleeni kuwa vichwa ngumu hivyo hivyo, siku ikifika Arsenal anabeba ubingwa mkatundikiwe dripu hospitalini..
Mwamba huyu hapaUkweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo vijana na mashabiki wa arsenal wasije weka matarajio ya ubingwa.
Bahati ya leicester city kuchukua ubingwa kibahati bahati haiwezi kujirudia.
Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na beki mbovu kama Saliba na Margheles. Huwezi kuchukua ubingwa ukiwa na golikipa kimeo kama yule.
Uchukue ubingwa Nketia au Jesus ni forward? Huu utani wa kijinga kabisa wenzao Leicester walikuwa na Vardy, Ngolo, Mahrez walikuwa wakali kuliko saka, Martnel na Partey.
Nakubali wachezaji km saka,partey na martinel wanauwezo wa kuridhisha ila sio hatari hawajafikia ubora wa juu.
Arsenal atafuzu UEFA ila ubingwa wa EPL hawachukui.
Na yule kocha wa manchester united anaweza akashinda ligi mapema kuliko kocha wa arsenal kwasababu kocha manchester united anampa wa kiutu uzima zaidi kama alivyo Ancelot wa Madrid.
Kwani ilishawahi kukesha?Arsenal wanasema "mwaka huu ngoma ya watoto itakesha". Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wana tabia ya kuidharau sana arsenal wanadai ni watoto na wanadai ngoma ya watoto haikeshi!!
Kombe tunampa arsenal.Sisi tunashinda game zetu, mwisho wa ligi mtachagua wa kumpa kombe.
Nadhani southamptonHebu taja timu yako ngumu ambayo unaona kabisa inaweza kufanya Arsenal asiwe Bingwa?