Herzog JF-Expert Member Joined Jul 26, 2022 Posts 4,129 Reaction score 4,859 May 4, 2023 #81 Rogers luyangi said: Arsenal katika mechi 16 za EPL tumeshinda 14 tumefungwa 1 na sare 1...perfomance zaidi ya asilimia 90 Click to expand... Kwenye mechi 5 zilizopita performance ni asilimia ngapi?
Rogers luyangi said: Arsenal katika mechi 16 za EPL tumeshinda 14 tumefungwa 1 na sare 1...perfomance zaidi ya asilimia 90 Click to expand... Kwenye mechi 5 zilizopita performance ni asilimia ngapi?
Herzog JF-Expert Member Joined Jul 26, 2022 Posts 4,129 Reaction score 4,859 May 4, 2023 #82 Utaula wa chuya said: Majitu majinga nayo tumevuka nayo mwaka Click to expand... Kumbe wewe ndio ulikuwa lijinga zaidi.
Utaula wa chuya said: Majitu majinga nayo tumevuka nayo mwaka Click to expand... Kumbe wewe ndio ulikuwa lijinga zaidi.
Herzog JF-Expert Member Joined Jul 26, 2022 Posts 4,129 Reaction score 4,859 May 4, 2023 #83 Happycuit said: Umeuanza mwaka vibaya ndugu, sasa mbona tabu utaipata sana.... maana hao hawashiki mpaka may....... Click to expand... Mei ndio hii mkuu
Happycuit said: Umeuanza mwaka vibaya ndugu, sasa mbona tabu utaipata sana.... maana hao hawashiki mpaka may....... Click to expand... Mei ndio hii mkuu
BuDDaH MBiSHi JF-Expert Member Joined Jan 14, 2021 Posts 468 Reaction score 495 May 4, 2023 #84 Da Vinci XV said: Unadhani mpira wa Ulaya kama Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde Mpira saivi ni formula tu ukiingia Kwenye mfumo wa mtu unakaa Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu Click to expand...
Da Vinci XV said: Unadhani mpira wa Ulaya kama Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde Mpira saivi ni formula tu ukiingia Kwenye mfumo wa mtu unakaa Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu Click to expand...
BABA Dillish JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 2,362 Reaction score 3,252 May 4, 2023 #85 Herzog said: Nadhani southampton Click to expand... jamaa atakimbia mbio kwa aibu🤣🤣🤣🤣
BABA Dillish JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 2,362 Reaction score 3,252 May 4, 2023 #86 hivi ile skendo ya arsenal players kupigana mashine ilikuwa ni ya kweli?
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,155 Reaction score 36,337 May 4, 2023 #87 BABA Dillish said: hivi ile skendo ya arsenal players kupigana mashine ilikuwa ni ya kweli? Click to expand... 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
BABA Dillish said: hivi ile skendo ya arsenal players kupigana mashine ilikuwa ni ya kweli? Click to expand... 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔