Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Kwenye mechi 5 zilizopita performance ni asilimia ngapi?Arsenal katika mechi 16 za EPL tumeshinda 14 tumefungwa 1 na sare 1...perfomance zaidi ya asilimia 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mechi 5 zilizopita performance ni asilimia ngapi?Arsenal katika mechi 16 za EPL tumeshinda 14 tumefungwa 1 na sare 1...perfomance zaidi ya asilimia 90
Kumbe wewe ndio ulikuwa lijinga zaidi.Majitu majinga nayo tumevuka nayo mwaka
Mei ndio hii mkuuUmeuanza mwaka vibaya ndugu, sasa mbona tabu utaipata sana.... maana hao hawashiki mpaka may.......
Unadhani mpira wa Ulaya kama
Bongo kwamba lazima uwe MAyele au Chama ndio ushinde
Mpira saivi ni formula tu ukiingia
Kwenye mfumo wa mtu unakaa
Hata angekuwa Beki Onyango au Kipa Ahmada Arsenal watabeba tu
jamaa atakimbia mbio kwa aibu🤣🤣🤣🤣Nadhani southampton
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔hivi ile skendo ya arsenal players kupigana mashine ilikuwa ni ya kweli?