Arsenal itafunga zaidi ya magoli sita kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Man United

Arsenal itafunga zaidi ya magoli sita kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Man United

[emoji2][emoji2][emoji2] I really hope & wish too...
 
Nyie kenge tutawanywa goli nyingi jiandaeni kisaikolojia hapo Emirate msije kuzimia kwa wingi. Na hivi hamjapokea kipigo muda mrefu mtatukoma.
 
Kwa kuwa mnatabiriwa kutwaa ubingwa tukiwaotea nasisi tutaanza kuangaliwa kibingwa bingwa.Mungu bariki ma u.
 
Hii game nishaiangalia. Matokeo ni mwenyeji 1 mgeni 0 over. Beti huo mkeka utanishukuru jjmapili
 
Mechi iliyopita mlimazaje na United, Je unakumbuka kipigo cha mbwa koko mlichopewa na United 8-2
 
Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita.

Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
Ongeza Trossard
 
Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita.

Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
Hiyo ni uongo bhana
B44629A6-3546-4544-BD5B-B67236DE0200.jpeg
 
Nimefanya research ndogo,nimegundua tokea hii wiki ianze washabiki wa Manchester hawana raha,yani kama vile wanatamani wabadilishiwe timu ya kucheza nao j.pili...
 
Back
Top Bottom