Hongera mkuu mwenyewe namsubilia FC Porto hapa sijui kama nitaamka vyemaNimeweka afu nikachukua K Vant nikawa napiga huku nikichek game
Arsenal kuifunga Chelsea FA fainali siyo mara ya kwanza. Gape just got widerDadeek!! Arsenal unaiwekea 300K!! Utakuwa shabiki wa Arsenal!! Timu mbovu kama arsenal huwezi weka hela hiyo for betting!! Leo Wembley wamebahatisha!!
Mkuu kwa pesa uliyoweka ili idi upige milion kumi na kuendelea.hiyo uliyopiga Ni size ye jero tuHabari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
Huyu muhuni Ni muongoArsenal alikua na odds 3.70 kushinda.
ila mkuu weka hata ka picha basi
Lete mkeka wako hapa.Habari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje