Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

Arsenal alikua na odds 3.70 kushinda.
ila mkuu weka hata ka picha basi
 
Habari wakuu!

Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
Mkuu kwa pesa uliyoweka ili idi upige milion kumi na kuendelea.hiyo uliyopiga Ni size ye jero tu
 
Habari wakuu!

Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
Lete mkeka wako hapa.
 
Back
Top Bottom