Nyavinene
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 164
- 174
Habari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
View attachment 1524593