Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi Arsenal pure ila nataka nijue hii ni ndoto,utabiri au umeona ubora wa timu?Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
Anafungwa yeye izo goli 3Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
muda ndo msema kweli, tusubiri matokeo.Mkuu jaribu kufuatilia nyuzi nilizoanzisha siku za nyuma kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali.
natamani Arsenal ashinde ila naona Arsenal kama betri imeisha chaji!Mkuu jaribu kufuatilia nyuzi nilizoanzisha siku za nyuma kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali.
Man city apigwe leo💪Kila timu inapitia kipindi kama kile halafu inarudi tena kwenye ubora, ni mambo ya kawaida.
Siangalii game, LiveScore naona arsenal possession 62%..ni ya kweli hayo au wanapendelea!?dk ya 41 Bokaya Saka anasawazishia Arsenal kwa mkwaju wa penalt.
Arsenal 1-1 Man City.
mbungi inaendelea ni misako tu inafanyika hapa.
Siangalii game, LiveScore naona arsenal possession 62%..ni ya kweli hayo au wanapendelea!?
kweli tupu.Siangalii game, LiveScore naona arsenal possession 62%..ni ya kweli hayo au wanapendelea!?