Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
dk 72 Grealish anaiandikia Man city goli la pili.
Arsenal 1-2 Man city.
Arsenal 1-2 Man city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaliwa mzeee [emoji3060][emoji3060][emoji3060] city for lifeUtabiri hewa.
Kivipi wakati city kashinda? Huyo jamaa kasema leo Arsenal wanashinda goli zaidi ya tatu. Huo umekuwa utabiri hewa. Au sio?Ushaliwa mzeee [emoji3060][emoji3060][emoji3060] city for life
Ma nabii fekiMkuu jaribu kufuatilia nyuzi nilizoanzisha siku za nyuma kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali.
Lete matokeo sasa nyambaaf.Mkuu jaribu kufuatilia nyuzi nilizoanzisha siku za nyuma kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali.
Bado umelalaBaada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.