Arsenal kufunga zaidi ya goli tatu dhidi ya Manchester City mchezo wa Februari 15

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
 
dk ya 41 Bokaya Saka anasawazishia Arsenal kwa mkwaju wa penalt.
Arsenal 1-1 Man City.
mbungi inaendelea ni misako tu inafanyika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…