Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

Wewe ni mtoto wa 2005 huijui arsenal.
Ahahah, kila zama na zama zake mkuu. Kimsingi mi sio mtoto wa 2000 ila ukweli ni kwamba Arsenal ishakufaga kitambo sana ni hamtaki tu kuizika. Arsenal ni Cadaver.
 
Ni kweli msimu huu ulaya ligi zote kubwa zilikuwa hazina quality kivile ukilinganisha na miaka michache nyuma hasa EPL

hata hivyo arsenal alstahili toka nwaka juzi kubeba EPL

anastahili
 
Sawa ila ndo hivyo Arsenal ndiyo mabingwa na Epl imebaki kuwa moja ya ligi kubwa duniani.
 
Kwa hiyo hata kucheza fainali UEFA ni kwa sababu mpira wa Ulaya umeshuka viwango?

Mawazo ya kipumbavu kama ya Chatanda
Mpira wa Ulaya umeshuka viwango ndio ni sahihi kabisa
 
Umebaki wa wapi? Au unatuambia kwamba mpira wa dunia nzima umeshuka kiwango?
Reference kubwa Huwa tunaitumia Kwa kulitazama bara la Ulaya na team zao , na kuzitazama zile team ambazo ni giant Zina offer Nini katika mashindano makubwa like UEFA

Ukweli ni kwamba team nyingi kubwa misimu hii miwili mitatu hazipo katika ubora wao na hapo ndio zile team ambazo ni average huibuka na kuchukua nafasi like arsenal
 
Kuna possibilities za scenarios mbili, tumu 'kubwa' kushuka viwango au timu 'ndogo' kupanda viwango. Mimi ni Barça fan since way back labda kabla wengi wenu hamjazaliwa lakini kuna wakati tumekuwa tukipigwa si kwa kuwa tumeshuka kiwango bali ni kwa kuwa timu pinzani zinakuwa zimepanda viwango.
 
Barca haipo katika ubora ule ambao sisi kama wadau wa michezo Tuna kutambua vyema Barca bado Ina struggle
Kilichopo ni kwamba team kubwa zimepoteza nguvu ya ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…